Nyumba ya kupanga kinondon full furnished

Prix négociable: 1,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba nzuri sana ya kupanga Ina furnished tayari ipo kinondoni vyumba3 vyote self kimoja master, full Ac,fensi ya umeme,jiko, mashine za kufua nguo, na boy kota.nyumba nzuri ya sana ya peke yako kwa maelezo contact

Mji / Jiji / Kijiji:Bungoma - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13/01/2018
Ad number:525
KikundiHébergement, logement, maisons, immeubles
Maneno muhimu:Nyumba ya kupanga kinondon full furnished

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.