Nyumba mpya ya kisasa Inauzwa Tabata barakuda

Prix négociable: 75,000,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba Nzuri sana mpya ya kisasa inauzwa Tabata barakuda Milioni 75 adi 70 maongezi.Inavyumba3 kimoja master bedroom,sitting & dining room, kitchen, store, parking kubwa nyumba imejengwa vizuri sana mtaa mzuri Ina hati,Kwa mahitaji ya kununua nyumba safi ya kisasa bei nafuu,kiwanja/ nyumba za kupanga sehemu yoyote apa Dar fika ofisini kwetu kinondoni mtaa wa ufipa tunazo nyumba nyingi nzuri za kuuza bei tofauti tofauti kulingana na bajeti

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13/01/2018
Ad number:530
KikundiHébergement, logement, maisons, immeubles
Maneno muhimu:Nyumba mpya ya kisasa Inauzwa Tabata barakuda, house for sale

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.

matangazo mengine ambayo yanaweza kukuvutia Matangazo mengine sawa